Saturday, October 17, 2015

Anonymous

Dakika 6 za Maneno ya Mwisho ya Marehemu DEO FILIKUNJOMBE

Deo Filikunjombe alikua mbunge wa Ludewa (CCM) ambaye alipata ajali ya Helikopta kwenye eneo la Selous na kufariki jioni ya October 15 2015 akiwa na watu wengine watatu akiwemo baba mzazi wa aliyekua meya wa Ilala Jerry Silaa.


Ukibonyeza play hapa chini utazisikia dakika sita za mahojiano ya mwisho kati ya Deo Filikunjombe na millardayo kwenye msiba wa Mwenyekiti wa chama cha DP Mchungaji Christopher Mtikila ambapo alizungumzia kifo cha Mtikila pamoja na jimbo la Ludewa.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.