
Akiongea na ripota wa millardayo.com aliweza kusema jinsi alivyopokea ushindi huo kwa kishindo…’Nashukuru wadau wangu wa KILUNGULE kwa kishindo kikubwa, kishindo cha asilimia 81 imetosha kunionesha napendwa vipi kwenye jamii yangu.”
‘Kuhusu muziki nitaendelea nao na huku nikiendelea na kuhudumia wananchi wangu wa Kilungule nitahakikisha kila huduma yanayotaka basi mambo yataenda sawa katika kata yangu ua Kilungule wilaya ya Temeke, cha mwisho ningependa kusema asanteni Wadau wa muziki asanteni wadau wote kwa kufanikisha mimi Fella kuwa katika nafasi ya udiwani’ – Said Fella
Samahani hakuna sauti kuna tatizo la kiufundi…..
Note: Only a member of this blog may post a comment.