Friday, October 30, 2015

Anonymous

Alichokiandika MH. GODBLESS LEMA wa CHADEMA Baada ya DK MAGUFULI Kutangazwa Kuwa Rais Mteule

Mh Godbless Jonathan Lema
Najua wengi wetu tunatamani kusikia viongozi wetu wanasema nini kuhusu hatma ya ubakaji demokrasia kwa kiwango kilichopitiliza ambao tumeushuhudia tena katika taifa letu. Ngumu kujitofautisha na wengine wa jinsi hiyo.
Niwatie moyo, tuwe na subira, tusiharibu vitambulisho vyetu..bado vinahitajika sana.
Viongozi wetu wakimaliza majadiliano, watatutaarifu nini kinafuata.
Hongereni sana kwasababu kuna tofauti ya kushinda na kutotangazwa mshindi na kushindwa na kutangazwa mshindi.
HAKI HAIOMBWI, HUDAIWA!
Asanteni.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.