Gari aina ya Toyota Probox lenye namba za usajili T336 CKH
likiendelea kuwaka moto eneo la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere (JNIA) jijini Dar.
Wananchi wakiendelea kuzima moto huo.
Moshi ukiwa umetanda.
Muonekano wa gari hiyo wakati ikiendelea kuwaka moto.
Kitengo cha zima moto kikiendelea na kazi yake.
(PICHA: MUSA MATEJA/GPL)
Note: Only a member of this blog may post a comment.