#KUTOKAMAGU: Mhe. Freeman Mbowe akitoa elimu ya upigaji kura katika viwanja vya Sabasaba,Jimbo la Magu mkoani Simiyu,jana Alhamisi 15/10/2015 #Mabadiliko2015
#KUTOKAMBOGWE: Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akisalimiana na watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino), katika viwanja vya shule ya msingi Masumbwe jana 15/10/2015 #Mabadiliko2015
#KUTOKAMAGU: Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Magu Mkoa wa Simiyu katika viwanja vya 77,jana Alhamisi 15/10/2015 #Mabadiliko2015
#KUTOKAMAGU: Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (katikati) Mhe. Kingunge Ngombare Mwiru na Mhe. Freemam Mbowe wakiwasili katika viwanja vya 77 Jimbo la Magu,jana Alhamisi 15/10/2015 #Mabadiliko2015

Note: Only a member of this blog may post a comment.