Wednesday, September 2, 2015

Anonymous

Tundu LISSU Asema Haya Baada ya DR SLAA Kuwalipua CHADEMA


Akihojiwa na Sauti ya America leo Tundu Lissu kasema kujiuzuru kwa Dr Slaa kumesababishwa na kukosa nafasi ya Urais. Shinikizo limetoka kwa mkewe kwani alikuwa amejiandaa kuwa firstlady.
Kuhusu kuachana na siasa toka July TL kasema Dr Slaa ni Mwongo maana amechukua mshahara wa mwezi August na amekuwa akitumia Ulinzi pamoja na Gari la chama

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.