Ray C anaendelea kusononeshwa na changamoto anazokutana nazo katika harakati zake za kupata dawa za methadone anazotumia ili zimsaidie kuushinda kabisa uteja (addiction) wa dawa za kulevya alizokuwa anatumia.
“NIKIWA NJIANI ASUBUHI KUELEKEA MUHIMBILI!YALIYONIKUTA HUKO NAMWACHIA MUNGU!ILA KITABU KARIBIA NAKIMALIZA KWANI NI CHA KUSIKITISHA SANA LAKINI NAJUA HATMA YANGU ANAIJUA MUNGU PEKEE NA NDIE ATAKAENISIMAMIA KWA HAKI NA UKWELI MTUPU!LOADING!MY LIFE IS UR LESSON!11” aliandika kwenye post inayomuonesha akiendesha gari.

Note: Only a member of this blog may post a comment.