PIGO KUBWA CCM: Kigogo Mwingine Kuhamia UKAWA Wiki Ijayo na Kuharibu Hali ya Hewa
Wakuu katika kuendeleza kipigo kwa CCM. Wiki ijayo mwanachama maarufu wa CCM atahamia UKAWA. Litakuwa pigo mujarabu kwa chama tawala. Subirini wiki ijayo anga la siasa ya Tanzania litatikisika
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.