Baada ya mchezo wa mchana kati ya Chelsea vs Everton, Barclays
Premier League imeendelea kutimua vumbi kwenye viwanja tofauti nchini
Uingereza.
Arsenal wakiwa nyumbani waliikaribisha timu ngumu ya Stoke City- mechi ambayo imemalizika kwa vijana wa Arsene Wenger kupata ushindi wa 2-0.
Magoli ya Arsenal yalifungwa na Theo Walcott na Oliver Giroud.

Note: Only a member of this blog may post a comment.