Saturday, September 12, 2015

Anonymous

MASANJA MKANDAMIZAJI ATOA KAULI NZITO KUHUSU VYAMA VYA UPINZANI NA CCM


Msanii wa nyimbo za injili na vichekesho hapa nchini, Emamnuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji, ameshindwa kuvumilia na kuweka wazi yeye ni shabiki wa chama gani
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Masanja ameandika kuwa anashabikia chama gani ikiwa ni siku kadhaa zimepita na wasanii mbalimbali hapa nchini wakajionesha waziwazi wao ni wapenzi wa vyama gani vya siasa
Hapa chini ni alichopost Masanja kwenye "page" yake.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.