Saturday, September 12, 2015

Anonymous

LOWASSA Afunika Singida Kwa Kina NCHEMBA na NYALANDU! Shuhudia PICHAZ za Awali Hapa!


MGOMBEA wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Edward Lowassa ambaye anaungwa mkono na Vyama vinavyounda UKAWA Amezidi litikisa Taifa,
Baada ya leo Kuutikisa mkoa wa Singida na Viunga Vyake huku mkoa huo,shughuli zote zikiwa zimesimama ili kumpokea lowassa,kama ambayo unaona kwenye picha hizo,
Umati wa watu ukiwa umetanda barabarani wakimlaki Lowassa huku wakiimbi nyimbo kwa kusema “Rais Rais Rais”
Mkoa Singia ambayo kwa kiasi kikubwa ni ngome ya CCM ambapo ndio unamtoa Naibu Waziri wa Fedha,Mwigulu Nchembe,Waziri wa Maliasili na Utalii Nyalandu

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.