Gabriel Ng’osha
Ukweli mtupu! Msanii wa filamu za Kibongo, Haji Adamu ‘Baba Haji’ amewataka Watanzania wakiwemo wanasiasa kutumia busara katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu kwani bado kuna maisha baada ya uchaguzi utakaofanyika Oktoba, 25.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Baba Haji alifunguka:
“Uchaguzi wa mwaka huu una mengi ya kushtukiza na kushangaza. Kwa kweli tutaona na kuyasikia mengi lakini nafikiri staha ingetakiwa kuwa mbele ya uso wa wenye kujua uwepo wa Mungu, maana kuna maisha baada ya Oktoba 25.”

Note: Only a member of this blog may post a comment.