Monday, September 7, 2015

Anonymous

Hatimaye Mkongwe JUMA NATURE Naye Afunguka Msimamo Wake Uchaguzi Mkuu 2015



Wakati siasa ikiendelea kuchukua Headline na baadhi ya mastaa wakionesha hisia zao na mapenzi yao kwa watu ambao ni wagombea kwa vyama mbali mbali, leo Msanii wa bongo fleva Juma Nature ameamua kuweka wazi kuhusu msimamo wake kwa chama anachokiunga mkono kuwa ni Chama cha Mapinduzi (CCM)
Hii ni baada ya kusikika kwa watu mbali mbali kuwa Juma Nature amekuwa hana msimamo na kutokuonyesha muelekeo wake leo ameamua kufunguka.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.