Monday, September 14, 2015

Anonymous

DUDE: Askofu GWAJIMA Alikula Maharage ya Wapi?

dude2Staa wa maigizo Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’
Mwandishi wetu
Tiririka! Staa wa maigizo Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amefunguka kuwa baadhi ya watumishi wa Mungu wanapotea kwa sababu ya fedha, madaraka na umaarufu kisha kujiingiza kwenye mambo ya siasa akimtolea mfano Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima.
gwajima.jpgAskofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima.
Akizungumzia ishu hiyo, Dude alisema kuwa inashangaza kuona mtumishi wa Mungu akitumia jina la Mungu kutafuta sifa.
“Ukiona mtumishi wa Mungu anatafuta sifa, fedha au umaarufu, hakika dunia inaelekea ukingoni. Kiukweli sijui huyo Gwajima alikula maharage ya wapi kama yeye mwenyewe anavyosema,” alisema Dude.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.