Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Wednesday, September 9, 2015
Anonymous
AJALI: Moto Mkubwa Wateketeza Vibanda Vya Biashara Mkoani Iringa Usiku wa Kuamkia Leo
MOTO mkubwa umeteketeza vibanda vya biashara vilivyopo eneo la Mambo ya Tanga, Mafinga mkoani Iringa usiku wa kuamkia leo.
Baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo wameeleza kuwa chanzo chake ni
mitungi ya gesi inayotumika kujazia upepo ambayo ililipuka na kupelekea
moto kuchoma vibanda hivyo.
Note: Only a member of this blog may post a comment.