Kama hujawahi kufika Visiwani Zanzibar,
alafu ikatokea umepata safari kwenda Zanzibar anza kufurahia kabisa mtu
wangu… kwenye safari sio lazima uwe na pesa nyingi ili uenjoy !!
Mazingira ya maeneo tofauti ya Zanzibar ni kivutio tosha kwamba hata kama umesafiri na kiwango kidogo cha pesa lakini bado utafurahi tu kuitembelea Zenji..
Huu ndio muonekano wa Bandari ya Zanzibar na kama umesafiri na boti huu ndio mlango wa kuingia kwenye kisiwa cha Zanzibar

Note: Only a member of this blog may post a comment.