Friday, August 7, 2015

Anonymous

WATANYOOKA TU! Jamaa katega camera na gari lake kali anawapa lift Warembo kuona watakataa? -VIDEO

Jamaa wameamua kutegesha video camera mahali alafu wanachukua gari kali la kifahari na kujaribu kuwapa lift Warembo, kingine ni kwamba dereva au jamaa mwenye gari haongei neno lolote anawaita kwa ishara tu wasichana na kuwapa lift aone kama watakataa.

Pamoja na kwamba Warembo wanaonekana kukataa mwanzoni, mwishoni wanakubali kiulaini na kuingia kwenye hili gari bila kujua wanakopelekwa.
Nimekuwekea video hiyo hao chini mdau!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.