Kitendo cha ENL kuikacha CCM limekuwa pigo sana kwa wana CCM (Yaani wana System) na hasa Magufuli ambaye alishajua kwamba kuwa ukishapitishwa na CCM kiujanja ujanja, basi ndo ushaukwaa Urais.
CCM wanajaribu kujitutumua lakini najua wanatafuta pa kuficha Nyuso zao baada ya aibu itakayotokea Octoba baada ya kubwagwa kwa aibu.
CCM wanajaribu kujitutumua lakini najua wanatafuta pa kuficha Nyuso zao baada ya aibu itakayotokea Octoba baada ya kubwagwa kwa aibu.
Lakini chonde chonde wanaohamia huku msije na uroho wa kugombea. Kuna wabunge wanatamani hii fursa (ya kujiunga UKAWA) ila mbio za kupitishwa majimboni zimepita kwa hiyo watabaki huko. Ila, mjue muda ni huu. Tokeni CCM njoo huku tupige kazi tuikomboe Tanania. Mafuriko hayazuiwi kwa mikono.
Pole sana CCM, bakini na Makufuli, funguo tunazo huku UKAWA!
Pole sana CCM, bakini na Makufuli, funguo tunazo huku UKAWA!

Note: Only a member of this blog may post a comment.