Tuesday, August 11, 2015

Anonymous

VITUKO VYA MASTAA TZ: Nuh Mziwanda Amvaa Idris Sultan, Kisa SHILOLE KIUNO!

Picha limeanzia kwenye post ya Instagram ya mshindi wa Big Brother Africa Hotshots, Idris Sultan ambayo aliweka picha ya girlfriend wake Samantha wa Afrika Kusini.

Miongoni mwa watu walio comment kwenye picha hiyo ni pamoja na mmiliki wa ‘moyo’ wa Shishi Baby, Nuh Mziwanda ambaye alimchimba ‘biti’ Idris, akidai kuwa amekuwa akimsumbua mpenzi wake Shilole kwa kumtumia ujumbe ambao hapendezwi nao.
“Nikianza kumsumbua demu wako, kaam unavyomsumbua wangu utafurahi, nimekuvumilia sana bro, sasa imekuwa too much, tuheshimiane @idrissultan msg zako sijazipenda.”

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.