Wakati
jina la Latifah mtoto wa Diamond na Zari likizidi kukuwa, rafiki wa
karibu wa aliyekuwa mume wa Zari, Ivan Ssemwanga, Kinglawrence amemtupia
dongo Diamond akisema hakuhitajiki kipimo chochote cha vinasaba DNA ili
kujua kuwa, Latifah si mtoto wa Diamond kwani mambo yamejionesha
yenyewe baada ya miezi tisa.
Kwenye mtandao wa Instagram, jamaa huyo
aliweka picha ya Ivan aliyoiunganisha na picha ya Latifah ili wadau
waone walivyofanana. Hapa ana maana kuwa, mtoto huyo ni wa Ivan.
Diamond alipotafutwa aseme neno kuhusiana na madai hayo yote, alipuuza kuhusu mtoto ni wake au si wake, akasema ana furaha iliyopitiliza ya kupata mtoto na kuhusu jina haoni kama kuna tatizo.
Diamond alipotafutwa aseme neno kuhusiana na madai hayo yote, alipuuza kuhusu mtoto ni wake au si wake, akasema ana furaha iliyopitiliza ya kupata mtoto na kuhusu jina haoni kama kuna tatizo.

Note: Only a member of this blog may post a comment.