Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam Sharaff amedai kuwa screen shots ya
kile kinachoonekana kuwa ni mazungumzo kati ya Wema na Diamond kupitia
DM za Instagram ni feki.
Katika mazungumzo hayo, Wema anamueleza Diamond kuwa apuuzie kile mashabiki wake wanachokisema kuhusiana na Zari na mtoto wao Tiffah na kwamba bado anampenda staa huyo wa ‘Nana.’ Diamond naye anaonekana kupagawa na ujumbe huo na kumuomba waonane.
Hata hivyo Sallam Ambae ni Meneja wa Diamond kupitia Twitter amepuuzia screenshot hiyo kwa kudai kuwa ni feki.

Note: Only a member of this blog may post a comment.