Monday, August 17, 2015

Anonymous

TUMETOKA MBALI: Hizi ni picha za gari ya kwanza kwa Wayne ROONEY wa MAN United kumiliki!

Katika maisha kila mtu ana dream yake lakini wote hatutofautiani sana kwani huyu atataka kuwa Doctor, nurse, mwanasheria, askari polisi tunapokuja kufanana ni pale kila mtu anapohitaji kutumia matunda yake aliyochuma kutoka sehemu mbalimbali hususani katika kazi yake.
hi-res-9b3a5f04568f997f91879ed28ca0c436_crop_north
Hakuna askari polisi, Doctor, mwanasheria au nurse asiyekuwa na ndoto ya kumiliki gari, nyumba nzuri na mengine mengi, basi August 17 nakuletea gari ya kwanza ya mshambuliaji na nahodha wa Manchester United ya Uingereza Wayne Rooney kumiliki hii ilikuwa wakati yupo katika klabu ya Everton ambapo makazi yake ni katika jiji la Liverpool.
Motoring_15-jpg.28.620x413
1024848a2214599d6dddc6639998c9b0de8417a5a5daaecd4b78b0e3a50ce69c_large
wayne-rooney-ford-sportka

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.