Monday, August 17, 2015

Anonymous

20 PICHAZ: MASTAA Kibao Wajiachia Birthday ya Dj na Ndugu wa DIAMOND Platnumz, ROMY JONES


Diamond Platnumz na crew yake wakati wa kuingia kwenye party
Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa Romy Jons ambaye ni Ndugu yake na msanii Diamond Platnumz lakini pia ni Official Dj wake alifanya Party yake August 16 2015 wakaalikwa mastaa wengi kutoka Bongo Movie na Bongo Fleva, kiukweli ilipendeza sana.

Diamond Platnumz ambaye ni ndugu pia ni rafiki wa karibu na Romy kwa pamoja walikutana na marafiki zao na kusheherekea party hiyo….. na kwenye list ya mastaa waliotokea walikuwepo pia Barnaba, Vee Monay, Queen Darleen, Pipi, Aunt Ezekiel, Jux, Kamikaze, Tid, Madee, Shilole, na wengine kibao

Barnaba, Diamond na Romy kwenye pozi la picha



Manager wa Diamond Babu Tale, Madee, na Dj K Man wakipiga story wakati wa party

DJ Zero na Madee story zikiendelea kwenye Party






\




Mchekeshaji Stan Bakora na Lulu wakiwa kwenye pozi ya aina yake hii ilikuwa poa sana mtu wangu!

-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.