Tuesday, August 18, 2015

Anonymous

Raheem Sterling naye kaja na lebo yake RS7..anashindana na Ronaldo?..(Pichaz)

sttt
Unapozungumzia lebo ya CR7 humtambulisha rasmi mchezaji bora wa duniani Cristiano Ronaldo ambayo ndiyo humtambulisha..sasa kiungo mpya wa Manchester City naye kaamua kuingia kwenye biashara nakuanzisha lebo inayofanana na hiyo.
lin
Raheem Sterling sasa atatumia chata mpya ya RS7, ambayo inatarajia kuonyesha ushindani kwa CR7 ya Cristiano Ronaldo wa Real Madrid.
ettt
Swali ni kwamba Sterling ameamua kuingia kwenye ushindani na Ronaldo?
rrrrr

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.