Upambaji wa ikulu ya Diamond Platnumz haujafikia kikomo.
Mchumba wake Zari the Bosslady ameamua kusimamia awamu ya pili decor ya mjengo huo wa kifahari wenye swimming pool, bar na gym.
Mama Tiffah amepost picha kadhaa kwenye Instagram kuonesha hatua
hizo. “#StateHouseStillInTheMaking by mama mpola Oops by mama
@princess_tiffah & @lilq_is_bae,” ameandika Zari.

Note: Only a member of this blog may post a comment.