Macmillan Limo akishuka ndani ya gari kuelekea kwenye ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kuchukua Fomu.
Siasa na headlines kubwakubwa kila siku, unaambiwa hakuna kuchelewesha mambo sasahivi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC tayari imetoa ratiba ya Wagombea Urais kuanza kuchukua Fomu August 01 2015… Macmillan Limo wa TLP amekuwa Mgombea wa kwanza kufika Ofisi za NEC Dar, kwa ajili ya kuchukua Fomu ili mambo mengine yaendelee.

“Nafasi bado zipo kwa yeyote atakayehitaji kugombea Ubunge na udiwani kupitia chama chetu… kwa wale watakaokatwa kwenye vyama vyao tunawakaribisha sana wakati ni wenu, tunachoomba Mungu ni amani kwa nchi yetu ya Tanzania” – hii ni sehemu ya alichokisema Macmillan Limo baada ya kuchukua Fomu yake.

Macmillan Limo

Huu ndio msafara wa TLP uliomsindikiza mgombea wao kuchukua Fomu.

Mgombea Urais na Fomu zake mkononi pamoja na tabasamu la nguvu kabisa !!

Mgombea Urais mbele ya Camera za Waandishi wa Habari.

Macmillan Limo anaaga watu wake baada ya kuchukua fomu zake.

Note: Only a member of this blog may post a comment.