Nape anasema Lowassa amejivua nguo...najiuliza alitegemea aendelee kuvaa nguo chafu? Vazi la kijani halionyeshi uchafu na ndiyo maana upendelewa na Mafisadi. Ilikuwa ni jambo muhimu kwa Lowassa kuueleza umma juu ya Richmond na sasa tumejua. CCM na menejiment yake inawajibika kutoa maelezo ni wapi fedha za umma zilipelekwa. Tunamshukuru Mh. Lowassa kwani aliwajibika kwa mujibu wa sheria kuinusuru serikali na sasa ni wazi kabisa ni mtu safi haswa anapoendelea kuchukua maamuzi magumu ya kujiunga vema upinzani kuyakataa makabaila ndani ya CCM.
Tuesday, August 4, 2015
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Filed Under:
MATUKIO
on Tuesday, August 4, 2015


Note: Only a member of this blog may post a comment.