Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete amesema uamuzi wa nani agombee
urais kupitia chama hicho ulifanyika kwa pamoja kwa kufuata taratibu,
hivyo anayetoka katika chama hicho kwa sasa ni hiari yake na mapenzi
yake.
Aliyasema hayo jana wakati wa mazungumzo na wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Dar es Salaam na kuongeza kuwa uamuzi huo ulifanyika kwa mujibu wa Katiba ya CCM na ulipigiwa kura ndani ya Halmashauri Kuu ya Taifa baada ya mjadala mrefu na uamuzi ulichukuliwa kwa pamoja.
Toa maoni yako hapo chini...

Note: Only a member of this blog may post a comment.