Saturday, August 1, 2015

Anonymous

Miandiko ya Mastaa wako Vanessa Mdee, Fid Q, Chameleone, 2 Face, Ben Pol na Maurice Kirya wanavyoandika majina yao!


Vanessa Mdee
Ni time ya kurudi shule kidogo… kwenye miandiko huwa ipo ya aina nyingi na kama mimi nilivyokua natamani kuona miandiko ya mastaa mbalimbali ninaowafatilia naamini hata wewe inawezekana ulikua na kiu kama yangu, hii ni sehemu tu ya miandiko yao wakiandika majina yao.

Mwandiko wa Vanessa Mdee

Maurice Kirya wa Uganda

Mwandiko wa Maurice Kirya

Fid Q

Huyu Fid Q huyu, nilishindwa kumgundua harakaharaka ndio Ben Pol akanitangulia kutambua jina.

Ben Pol


Jose Chameleone

Mwandiko wa Jose Chameleone wa Uganda.

2 Face Idibia wa Nigeria

 Producer Nahreel wa Tanzania
 
Mwandiko wa nani umeukubali au umeona ni wa kipekee? niachie comment yako mtu wangu.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.