Saturday, August 1, 2015

Anonymous

Man United imekubali kubadili jezi kwa kiasi hiki cha Pesa!

Baada ya miaka 13 ya matumizi ya jezi za Nike kwa klabu ya Manchester United sasa imeamua kuzindua jezi mpya zitakazotumika katika msimu wa 2015/2016. Man United watatumia jezi zitakazokuwa zinatengenezwa na kampuni ya vifaa vya michezo ya ADIDAS kutoka Ujerumani.
manchester_united_2015_16_adidas_home_kit_20140723_1107512150
Man United wamesaini mkataba  wa miaka 10 na kampuni ya vifaa vya michezo ya ADIDAS, mkataba wenye thamani ya pound milioni 750 na sasa wataanza kutumia jezi za kampuni hiyo.
adidas-manchester-united-15-16-home-kit (1)
adidas-manchester-united-15-16-goalkeeper-kit (1)
manchester-united-15-16-third-kit (1)
b1116a6d17badcd6fef07b674c935acc
Manchester-United-15-16-fantasy-kit

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.