Tuesday, August 4, 2015

Anonymous

KUMEKUCHA! Maelfu Wamsindikiza DK MAGUFULI Kuchukua Fomu ya Urais NEC Hivi Punde!



Mhe. John Pombe Magufuli wakati anawasili makao makuu madogo ya CCM Lumumba, kuelekea ofisi za NEC kuchukua fomu ya urais.

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dk. John Pombe Magufuli leo amechukua fomu ya kuwania urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Maelfu ya wananchi wamejitokeza kumsindikiza kiongozi huyo aliyeanzia makao makuu madogo ya CCM Lumumba, Dar kuelekea ofisi za NEC.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.