Tuesday, August 4, 2015

Anonymous

Kipaji kingine cha Cristiano RONALDO mbali na soka…unadhani ungeweza kumtambua? (Video&Pichaz)

ronaldo6
Hakuna mtu yeyote ambaye aliyeamini huyu ndiye mchezaji bora wa soka duniani Cristiano Ronaldo akiwa katika muenekano mwingine hadi pale alipovua mavazi aliyokua ameyavaa na kumshangaza kila mmoja alifanikiwa kumuona.
ronaldo
Ronaldo akiwa Hispania anatangaza headphone mpya alikua amevalia mavazi yaliyomfanya kila atakaye kutana naye asiamini ni yeye huku akipita mitaani na mpira wake sambamba na mbwa huku akicheza.
ronaldo2
Watu walikua wakipita na hata wengine ambao alikua akiwarushia mpira kuonekana kukasirishwa na alichofanya hadi pale alipoamua kuvua mavazi aliyovaa na watu kushikwa na mshangao walipoona ni yeye.
ronaldo3
ronaldo4
Itazame hii video mdau wangu…

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.