Samuel Eto’o Fils ni mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon anayeichezea klabu ya Antalyaspor ya Uturuki, Eto’o
ambaye amewahi kuingia katika rekodi kadhaa kama ya kuwa mchezaji wa
kwanza anayelipwa mshahara mkubwa kwa wiki duniani hii ilikuwa wakati
yupo katika klabu ya Anzhi Makhachkala ya Urusi wakati alipojiunga nayo mwaka 2011 akitokea katika klabu ya Inter Milan ya Italia.
August 18 na kuletea mkusanyiko wa gari za kifahari alizokuwa anamiliki staa huyo wa Cameroon hadi mwaka 2013-2014 hizi ni gari mbalimbali ambazo amekuwa akitumia na kuonekana nazo zikiwa na namba binafsi SE yaani hicho ni kifupisho cha jina lake la Samuel Eto’o.
Hizi ni picha za magari yake mbalimbali
Hii ni video ikimuonyesha Eto’o akiendesha moja kati ya gari zake inaitwa Mansory Siracusa alionekana nayo Paris Ufaransa mwaka 2014
Note: Only a member of this blog may post a comment.