Sunday, August 2, 2015

Anonymous

JERRY SILAA AANGUKIA PUA VIBAYA KURA ZA MAONI!

Meya wa Ilala Jerry Slaa aliyekua akigombea ubunge ila kaangushwa katika kura za maoni kupitia CCM!
Jimbo la UKONGA:
Ramesh Patel amepata kura 5139 dhidi ya Jerry Silaa 1034

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.