Thursday, August 6, 2015

Anonymous

JACQUELINE WOLPER AIPIGIA MAGOTI MITANDAO YA KIJAMII, NI BAADA YA KUANDIKA POST YA MZAHA...KILICHOMTOKEA SASA

Mwigizaji wa filamu Tanzania Jacqueline Wolper anaweza kuandika ukweli wa taarifa ya post yake aliyoitoa hapo awali kupitia akaunti yake ya Instagram kuwa yeye ni mama kijacho lakini amesema kuwa hiyo ilikuwa ni Utani na alidhamiria kuwapongeza Diamond na Zari kwa kumpata mtoto hivyo imetafsiriwa tofauti.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.