Friday, August 28, 2015

Anonymous

Hii ni AIBU! Familia Inakosa Hata Sufuria ya Kupikia Ugali, Kweli Haya Ndiyo Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania?!

Halafu tunaambiwa maisha bora kwa kila mtanzania,aisee hawa watawala basi wawe hata na chembe ya huruma.
Yaani huu ni umaskini uliopindukia na wao watawala wanayaona haya wanatulia tu.

Maajabu ni kwamba mwezi Oktoba wakataufuta/malofa/wapumbavu watanzania hawa! baadhi Yao watawarudisha mamlakani walewale.
Si ajabu nchi nyingi zinatudharau Tanzania kama hali Ndio hiyo!!
PICHA ZOTE ZIMENASWA KTK VIJIJI VYA MKOA WA KIGOMA TANZANIA KWA HISANI YA PR. PM WA VHM

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.