
Chama cha Mapinduzi leo wamefanya Uchaguzi wa Ndani kuchagua wagombea wa Nafasi ya Ubunge na Udiwani katika Jimbo la Moshi Mjini bilionea DAVIS MOSHA ameshinda kwa kura 5271 Anayemfuatia Amepata Kura 700
Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Note: Only a member of this blog may post a comment.