Barakah Da Prince ameonekana Airport na mmoja wa wafanyakazi wa uwanja wa Ndege akiwa na Agnes Masogange mida ya saa 1 usiku.
Barakah amesema ni kweli alikuwa airport kamsindikiza mtu lakini
hakutaka kumtaja, anasema ni kweli Masogange alikuwa akisafiri, lakini
yeye alikua na mambo yake mengine.
Pamoja na Soudy kumbana maswali sana Barakah amesema anamkubali sana
Masogange hasa kwenye kufanya Video, lakini ni rafiki yake tu hakuna
kitu kingine.
Msikilize Barakah akizungumza na Soudy Brown kwenye #Uheard..


Note: Only a member of this blog may post a comment.