Mwonekano wa mbele wa gari hilo.
Lori la Scania T 986 likiwa limeanguka mbele kidogo ya eneo la Msata, barabara ya kuelekea Tanga na Arusha.

Hapa ni makutano ya barabara ya Kiwangwa na Bagamoyo.
MAGARI mawili jana yalipata ajali katika Wilaya ya
Bagamoyo, Pwani ikiwa ni gari aina ya Scania T 986 ASG lililoanguka eneo
la Msata na gari la aina ya Fuso T 945 BHZ lilioloanguka maeneo ya
makutano ya barabara ya Kiwangwa na Bagamoyo baada ya kufeli kukata kona
likiwa limebeba kreti za bia.
(NA DENIS MTIMA/GPL)

Note: Only a member of this blog may post a comment.