Friday, July 24, 2015

Anonymous

PICHAZ: Shuhudia Rais Obama wakati anatua Uwanja wa Ndege Nairobi Kenya…



Sehemu ambayo iliandaliwa kwa ajili ya Obama kusign kitabu maalumu cha wageni


Akisalimiana na ndugu zake
Obama ameshawasili nchini kenya, Ulinzi ambao upo kenya ni mkubwa sana inasemekana kuwa ana walinzi wapatao 800 ambao wako katika kila pembe ya nchi ya kenya wakiangalia usalama katika nchi hiyo….

Obama akishuka kwenye ndege ya airforce 1

Namba ya gari ambalo lilimbeba Obama akitokea Air port

Obama akisign kwenye kitabu cha wageni

Mlinzi mojawapo wa Obama


Wakenya wakifuatilia ziara ya Obama kwenye runinga

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.