Saturday, July 11, 2015

Anonymous

PICHAZ: MTOTO TABIA MKULUKUTE ALIYEFARIKI JANA BAADA YA KUGONGWA NA GARI BUNJU 'A' , KUZIKWA LEO

 Mtoto Tabia aliyekuwa mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Bunju  A ambaye aligongwa na gari (mwenye gauni la njano) enzi ya uhai wake.
  Gari la  Ofisa Mtendaji Mtaa wa Bunju 'B' Abdillah Mkeyenge lilivyo haribiwa
 Ofisa Mtendaji Mtaa wa Bunju 'B' Abdallah Mkeyenge  akizungumza na wanahabari namna ambavyo mkasa huo ulivyotokea.
 Maeneo ya jirani ya Kituo hicho cha Polisitaswira ilivyokuwa ikionekana.
 Wananchi wakiwa ng'ambo ya barabara wakiangalia jinsi kituo kilivyochomwa moto
 Mwana habari Jamaly Hashimu wa kituo cha TBC akipata taarifa akiwa ndani ya jengo la kituo cha Polisi Bunju A kilichochomwa moto na  wananchi jana.
 Baadhi ya nyaraka zilizoungua.
 Baadhi ya baiskeli zilizoungua.
 Omary Mbonde (katikati) ambaye ni mlezi wa mtoto Tabia Mkulukute, akizungumza na wana familia walipokuwa wakipanga taratibu za mazishi yanayotarajiwa kufanyika leo.
 Mama mlezi Zainabu Mkulukute katikati akiwa na waombolezaji wakimfariji
 Muonekano wa kituo cha Polisi  kilivyochomwa moto.
Polisi wakiimarisha ulinzi.
PICHA NA KHAMISI MUSSA

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.