PICHAZ: Monalisa Amewakumbusha Wengi kwa Picha Hii!
2003…..Ubatizo wa mtoto wangu wa kwanza Sonia kanisani
hapo KKKT USharika wa Yombo Dovya pembeni nipo na baba mtoto aliyekuwa
mume wangu ambae sasa ni marehemu George Tyson.
Hii nimependeza jamani msicheke basi.
Monalisa on instagram
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.