Picha ya kitambo ya Staa wa bongo Movies,
Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ akiwa na mama yake mzazi ambaye pia ni staa wa
Bongo Movies, Susan Lewis ‘Natasha’ aliyowekwa na Monalisa kwenye
ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram imewafurahisha mashabiki wao
wengi na kutupia komenti za kicheko na kuwasuifia kwa jinsi
walivyotokelezea .
Monalisa alibandika picha hiyo hapo juu na kueleza kuwa hiyo ilikuwa ni mwaka 1997.
“Haya nyie si wajuaji wa kucheka?chekeni sasa hadi mchoke,itaneni weeeee mnavyoupenda ubuyu tena haya mi na my mama @natashamamvi 1997 hiyo dadeki,” Monalisa

Note: Only a member of this blog may post a comment.