NAPE NNAUYE KAMSALITI BERNARD MEMBE?!
Katibu wa uwenezi na itikadi wa CCM Nape Nnauye amsaliti Bernard Membe baada ya kuandika maneno yakionesha hakuna atakayekatwa. Nape alitambulishwa kwa wazee wa jimbo la Lindi kama mrithi wa kiti cha ubunge wa jimbo hilo.
Je, una maoni gani kuhusu hili?!
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.