Baada ya rais Kikwete kulivunja bunge anakwenda kuongoza kikao cha kamati kuu ambacho kitatangaza rasmi majina matano, ambayo yatapelekwa halmashauri kuu ambayo kesho. Kamati hiyo nayo itateua majina matatu yatakaokwenda kwenye mkutano mkuu siku ya Jumamosi! Mpaka kufika leo usiku, top five itakuwa wazi.
Endelea kufuatilia zaidi hapa mdau! Hakuna kulala mpaka kieleweke!


Note: Only a member of this blog may post a comment.