Tuesday, July 28, 2015

Anonymous

Mtangaza Nia ya Kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga, Ramesh Patel Amekamatwa na TAKUKURU Akitoa Rushwa -PICHAZ

 
Ramesh Patel Mgombea Ubunge Ukonga Dar, akamatwa na Takukuru akitoa Rushwa Check Point Pugu

Je kwa mfumo huu wa kutoa rushwa katika Hatua ya Kura za maoni na hata kampeni kubwa,wananchi wataweza kuwachagua viongozi bila ushawishi wa Fedha?na Kiongozi kama Ramesh Anatufundisha nini?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.