Bado kuna hali ya sintofahamu miongoni mwa uhusiano uliopo kati ya Shilole na Nuhu Mziwanda.
Shilole amesema kwa sasa wamegombana na hatarajii kuachia wimbo na
mwenzake huyo ambaye walipanga kutoa wimbo..amesema mtu akizungua na
yeye anamzingua..
Amesema Nuhu amekua na wivu sana wakati yeye anaangaika kutafuta
pesa..ila amesema akijua alipokosea atamsamehe ila akizingua anatafuta
mtu mwingine.
Nuhu Mziwanda amesema sio kwamba wanapromote wimbo na sasa hana muda na Shilole…wana siku kama tatu tangu wagombane.
Wasikilize hapa..
Note: Only a member of this blog may post a comment.