Wakati akitangaza Kujiunga na Chama cha CHADEMA leo hii mmoja wa waandishi ameuliza swali kwanini yupo karibu sana na matajiri. Lowassa amejibu swali hilo kwa kusema kuwa anachukia sana umaskini ndio maana yupo karibu nao na nia yake ni kufanya watanzania wote wawe matajiri kama kina Mengi na Bhakresa.
Toa Maoni yako....
Toa Maoni yako....


Note: Only a member of this blog may post a comment.