Moja ya starehe za mastaa wengi wa soka duniani ni pamoja na kutembela magari ya kifahari..ukiachilia utajiri wa magari ya kifahari anayomiliki bondia mwenye utajiri mkubwa Floyrd Mayweather..wapo mastaa wa soka ambao nao wameingia kwenye list ya kutembelea magari ya kifahari zaidi.
Hwa ni mastaa 10 wa soka Ulaya ambao mbali ya kuingiza mkwanja mrefu kupitia kazi yao ya soka pia wanatembelea magari ya kifahari….

Gari aina ya Buggati Veyron anayomiliki staa wa soka duniani Christiano Ronaldo..gharama yake ni dola 1,7000,000

Ronaldinho anamiliki gari aina ya Buggati Veyron yenye thamani ya dola 1,800,000

Eto’o ni mpenzi wa magari na amekua akimiliki magari mengi ya kifahari.. naye pia ni mmoja wa mastaa wanaomiliki gari aina ya Buggati Veyron

Zlatan Ibrahimovic anamiliki gari aina ya Porsche ambayo ina thamani ya €768,000

Neymar Dos Santos ndiye mchezaji ghali zaidi Brazil: anamiliki gari aina ya Audi R8 GT lenye thamani ya paundi 246,000

Mesut Özil anamiliki gari aina ya Ferrari 458 yenye thamani ya paundi 169,000

Frank Lampard anamiliki Ferrari Scaglietti 612 yenye thamani ya paundi 200,000

Wayne Rooney anamiliki Aston Martin Vanquish S, thamani yake ni 150,000

Lionel Messi anamiliki Audi R8 Spyder lenye thamani ya paundi 102,385

Gareth Bale anamiliki Audi R8 GT, thamani yake ni paundi 246,000

Note: Only a member of this blog may post a comment.