Mahojiano
na mwigizaji Wema Sepetu kwenye TV show ya TAKE ONE CloudsTV na
Zamaradi Mketema yalimalizika kwa hiki kipisi cha dakika 15 Wema
akielezea mengi ya moyoni ikiwemo ya kupata mtoto na Diamond, Ujauzito
wa Zari na mimba aliyowahi kuitoa.
Cheki video hiyo kwa kubonyeza play au download hapa chini...
Cheki video hiyo kwa kubonyeza play au download hapa chini...

Note: Only a member of this blog may post a comment.